
Wednesday, March 13, 2013
PAPA ,MPYA...... REKODI MPYA
Kanisa katoliki limepata papa mpya kwa mara ya kwanza toka nje ya bara la ulaya ambapo papa mpya ni JORGE MARIO BALGERGIO anayetoka nchini Argentina barani Amerika ya kusini. Papa huyo amejichaguylia jina la papa Francis wa kwanza. Papa Francis amechaguliwa akiwa na umri wa miaka 78

Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment