Mchakato mzima uliokuwa ukitarajiwa na Watanzania wengi ni siku ya leo jumamosi ambapo msaanii toka chuo kikuu cha Dar es Salaam YOUNG SUMA wengi wakipenda kumuita LAWYER na msanii toka Kenya WYZLE WILLIAM watateremsha bonge la show katika ukumbi wa Ambassador Lounge chini ya DJ matata wa kike nchini TZ anayekwenda kwa jina la DJ FETTY.
Show hiyo inayotarajiwa kuhudhuriwa na watu lukuki kwa mujibu wa uongozi wa kampuni ya MAUSAY MEDIA ni kwamba watu 25 wa kwanza kuingiwa wataingia buuuuureeeee.
Dj Fetty atashirikiana na madj wengine kushusha bonge la burudani p[ande hizo na wajanja wote wa mjini watafurahi bkutokana na DJ pamoja na wasanii kujipanga vilivyo
No comments:
Post a Comment