Waziri mkuu mheshimiwa Mizengo Pitter Kayanza Pinda na mkewe Mama Tunu Pinda wamemtembelea papa mpya huko mjini Vatican Roma nchini ITALY
Waziri mkuu na mkewe mbali na kuonana na Papa Francis 1 walipata nafasi ya kupata historia ya mji wa Vatican, pia walipata interview na redio moja huko Vatican.
Viongozi kadha wa kadha kutoka barani Africa wamemtembelea papa mpya akiwemo rais wa Zimbambwe Robert Mugabe
No comments:
Post a Comment