Thursday, March 7, 2013

KIPAJI KIPYA HIKI HAPA

Ni kijana anayejitambua ni nini anafanya na moja ya kazi zake ni hizi hapa ambapo unaweza kumpata kwa you tube au simu namba yake +255659563855
Kwa kifupi ni bonge la ngoma na idea yake jamaa imekaa ki maisha halisi ya mtanzania kitu ambacho watanzania ndio tunataka

link ya ngoma ndo hii   http://www.youtube.com/watch?v=FqXYs2CS2os&sns=sms

No comments:

Post a Comment