Tuesday, February 5, 2013
CHRISTIANO RONALDO ASHEREKEA KUZALIWA
Nguli wa mpira wa miguu anayekimbiza duniani akiwa katika presha kubwa ya ushindani na Mchezaji wa Barcelona Lionel Mess leo anasherekea umri wake wa kuzaliwa
Ronaldo leo ametimiza miaka 28 tangu azaliwa huko nchini kwao Ureno tarehe 05/02 miaka 28 iliyopita
Ikumbukwe kuwa mchezaji huyu wa Real Madrid amashehekea miaka yake ya kuzaliwa akiwa na furaha ya kufanya tukio la hat-trick ndani ya dakika saba
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment