Tuesday, February 5, 2013

HOJA ZA BUNGE ZAGONGA MWAMBA KWA UTOVU WA NIDHAMU





Leo spika wa Bunge Anna Makinda ameahirisha hoja zote za bunge kutokana ana alichodai kuwepo na utovu wa nidhamu.
Ameamua kufanya hivo kwa lengo la kutunza heshima ya Bunge ili kutopoteza imani ya watu kwa Bunge
Imedaiwa kuwa viongozi wa vyama pinzani wameongoza kwa kwa utovu wa Nidhamu akitajwa Mhe. Lissu anaongoza
Kwa upande mwingine Mbunge wa Arumeru Mashariki Joshua Nassari na Tundu lisu wamedai kuwepo kwa upendeleo kwa wabunge wa vyama tawala kwa kupinga hoja za wapinzani na kutosikilizwa kwa rufaa za wapinzani


Mh. Lissu


No comments:

Post a Comment