Kifo hicho kimetokea leo asubuhi katika hospitali hiyo na mzee kaaga dunia akiwa na umri wa miaka 96
Ikumbukwe kuwa Rais Mseveni ni mtoto wa kwanza kwa marehemu mzee Amos Kaguta waliomzaa miaka 96 iliyopita na marehemu mke wake bi Esteri Kokundeka Nganzi
Rais Mseveni wa kwanza kati ya watoto wengine wa Marehemu Amos Kaguta ambao ni Dr. Violet Froerich Kajubiri na Gen. Caleb Akandwanaho alias Salim Saleh
Inasemekana Maerehemu alikuwa akisumbuliwa na maumivu ya tumbo na kichwa
Mazishi yanaendelea kupangwa
POLE ZA DHATI KWA FAMILIA YA MSEVENI NA TAIFA LA UGANDA KWA UJUMLA
MAREHEMU MZEE AMOS |
No comments:
Post a Comment