Thursday, February 14, 2013

PROGRESS THE YOUTH FOUNDATION (PY) WAHUDHURIA MAFUNZO YA MYG YANAYOENDESHWA NA FCS.

 PY ni shirika lisilo la kiserikali linalofanya kazi kusaidia jamii kukabiliana na matatizo mbalimbali. Aidha PY wamejikita kupunguza umaskini uliokidhiri kwa kuunda ajira zaidi. Kuzuia maambukizi mapya ya VVU, Kupinga unyanyapaa na Uonevu wa kijinsia pia PY hutoa misaada ya kijamii na husadia matukio ya ghafla.

NIHABARISHE imetaarifiwa kuwa  PY wamehudhuria mafunzo ya kujengewa uwezo DODOMA hivi sasa wako na mfadhili anayeitwa FOUNDATION FOR CIVIL SOCIETIES- FCS. FCS ni Shirika linalosaidia asasi kukua na kujengea misingi inayotakiwa kwa shirika lolote kuwa nayo. Vyazo vya habari vya nihabarishe vimearifiwa kuwa FCS inajenga uwezo wa AZISE hizo kwenye uwezo wa usimamizi mzuri wa fedha ambayo yalifanyika Jumatatu na Jumanne.

NIHABARISHE kiupandeupande limeweza kumnasa mmojawapo ya washiriki wa mafunzo hayo kutoka PY bwana selemani Pharles na mahojiano yalikuwa hivi
SELEMANI
Habari - Nzuri
Nihabarishe kuhusu FCS
Ndipo kijana aliipoaanza kuhabarisha kiunaga ubaga, kuwa Mimi niko Dodoma hivi sasa tulialikwa kuhudhuria mafunzo ya kujengewa uwezo  kwa AZISE hapa DODOMA HOTEL. Mafunzo haya yatafanyika kwa siku tano kweli nimefurahi sana FCS inagharamia kula, kulala kusafiri na kila kitu. Jamani shukrani sana kwa shirika hili nadhani serikali iliongezee nguvu zaidi kwani kazi linafanya kubwa na inaonekana mfano AZISE zingine zimetoka mbali kupita maelezo vijijini lakini wapo tunashirki nao' alikaliliwa aksiema hivyo aidha kwa taarifa zaidi NIHABARISHE itawahabarisha baadae mda si mrefu............................
Wafanyakazi wa PY wakiteta jambo baada ya Mafunzo hayo

No comments:

Post a Comment