Tuesday, February 5, 2013

THE EVER SHINING STAR OF ALL THE TIMES.

 Style zake wanajaribu kuiga wapi wengine walikuwa wanafunzi wake lakini bado hawakufikia mziki wa mzazi MJ. so usitamba kukonga uswazi na kiinchi ka Tz wewe bado xana tena kiduchuuuuuuuuuu, kaza buti.. usibweteke.. hapa hakuna cha Diamondi, ommy dimpoz.. wala hakunaga wote bado.. xana ngoma inatoka leo miezi mitatu watu hawataki kusikia xio kazi hiyo, twende shule tubadilike vinginevyo ooooohooh.
 Mwanamuziki pekee aliewahi kukonga nyoyo za mashabiki wengi duniani wa dansi na nyimbo zake, kutokana na maoni ya mashabiki wake kupitia mahojiano na NIHABARISHE pande za jiji la DAR, Zoo na SHY na Ar- Geneva ya Africa mjini kati, wamedai hakuna mtu anaweza shindana na wako jacko Michael Jackson labda hiki kizazi kipite lakini hivi hivi no.. alinukuliwa shabiki moko kwa jina la Prince The Great alizidi kuweka wazi ata  mazishi ya mchizi funika bovu jeneza lenyewe tu price yake msala pesheni za watu wengi bongo yetu, nyomi iliyotinga pande zote za duniani nooooooooooma, mzeiyah. Naye mtoto wa Obey a.k.a Minaji 4shizo alitanabaisha ebena Michael Jackson mwanzo mwisho..........tumsubiri mungu ashushe tena kozi mambo mengine xio ya kawaida kamanda

THE ONLY MUSICIAN WHO EVER SHAKED THE WORLD!!!!!!!!! NO COMPETION.. NO ONE TO COMPETE.

GOD IS OMNVIOLENT. GOD IS OMNPOTENT. JAMANI .......

1 comment:

  1. BONGO FLEVA WETU WAPI NO SHULE KAZI KUIBA KUKOPI NA KUPASTE XO ISSU KOMAAAAAAAAAAAAAAA MWANA?

    ReplyDelete