Mheshimiwa Mkuu wa wilaya Ndugu Ahamedi Kipozi akigawa baiskeli kwa Mwenyekiti wa Mtandao wa Vijana Bagamoyo (MVB) Pembeni suti nyeusi ni Prince Pastory(Meneja Mradi ASUTA na Mkurungezi Mtendaji wa Makampuni ya FPN). Mtandao huu Pia wanachama wake ndio waliohudhuria Mafunzo ya UKIMWI na UJASIRIAMALI yakitekelezwa na ASUTA &PY kwa udhaminiwa RFE.
Mkuu wa wilaya Bagamoyo akigawa Baikeli kwa Mwelimisha rika kata ya Mkange pamoja na Kitabu cha mwongozo wa Mwelimisha rika kwa mafunzo waliyopatiwa.Mwelimisha rika kata ya Kiromo akishikana mkono na Mkuu wa wilaya ya Bagamoyo wakati akikabidhiwa Baiskeli tayari kwa kuchapa kazi.
No comments:
Post a Comment