Saturday, February 2, 2013

VYPA KUJA NA KIDEO KIPYA CHA HALI YA JUU

KIKOSI CHA CAMEROON
Msanii anayetisha maeneo mbalimbali ya dunia akiwa kawekeza zaidi kimuziki Tanzania, Canada na Jamaica yupo katika harakati za mwisho za kutengeneza video yake ya wimbo WINE UP ambao umekuwa tishio club na maredioni.
Akizungumza na NIHABARISHE kwa njia ya simu na mitandao ya kijamii msanii huyo kasema amechagua kampuni nzuri ya video production ambayo imekwisha kufanya kazi nyingi nzuri na akaiamini.





Msanii huyo ni msanii anayeweka record kwa kufanya featuring the wasanii wengi toka nchi mbalimbali na yuko tayari kufanya kufanya ngoma msanii yeyote kwa gharama yeyote ambapo kila nchi ana mawasiliano yake ikiwemo Tanzania kwa 0658645667.
Kwa sasa yuko mbioni pia kumalizia ngoma aliyofanya na msanii YOUNG SUMA toka hapa TZ Dar es Salaam
Ndani ya video hiyo itakayotisha zaid kama kawaida yake Vypa imependezeshwa na warembo wa kila aina

No comments:

Post a Comment