Tuesday, February 5, 2013

Q CHIEF ADAKA FOMU YA BBA




Msanii mkongwe Q chief leo amechukua fomu kwa ajili ya usahili wa shindano la  Big Brother Africa ambalo huwa linafanyika kule bondeni kwa mzee Nelson Ghadla Mfakanyiswa Madiba Mandela. Hii imekuja baada ya Msanii wa Bongo Movies Wema sepetu kuchukua wiki iliyopita. Wadau wengi baada ya kuliona hili wametoa maoni yao kupitia vyombo vya habari vya kijamii wakishauri na TOP IN DAR (TID) achukue form wakidai anafaa

No comments:

Post a Comment