Saturday, February 2, 2013

VIJANA BAGAMOYO WAFAIDIKA NA MAFUNZO YA ASUTA NA PY



Ijumaa hii tar 31 ndio ilikuwa siku ya mwisho ya semina ya UKIMWI na UJASIRIAMALI iliyowezeshwa na ASASI YA UWEZESHAJI TANZANIA (ASUTA) na PROGRESS THE YOUTH FOUNDATION (PY) yaliyolenga kumuelimisha kijana na kumuwezesha kijana na ikafungwa na mkuu wa Wilaya kwa kugawa baiskeli. Katika mafunzo hayo wadau walifurahia kujifunza kwa vitendo zaidi....
Wadau Wakifuatilia Semina.

Mmoja wa washiriki akionesha kwa vitendo Utumiaji wa Kondom

Mtaalamu wa Afya akionesha kwa vitendo. Dr Elisante Mmanyi toka Hospitali ya Mganga Mkuu wa wilaya Bagamoyo mkoani Pwani.

No comments:

Post a Comment