Saturday, February 9, 2013

NEC NDANI YA DODOMA KWA MKUTANO

Halmashauri kuu ya Chama Cha Mapinduzi NEC inatarajia kufanya mkutano mjini Dodoma na leo wahusika wameanza kuingia mjini Dodoma
Kwa mujibu wa katibu wa itikadi na uenezi bwana  NAPE MOSES NNAUYE kikao hicho kitaongozwa na mwenyekiti wa chama Dr. Jakaya Kikwete kuanzia tar 10-11 mwezi huu
Lengo la mkutano ni kukumbushana na hasa ikizingatiwa kuwa baadhi ya wahusika ni wapya

https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEj0C5y-jRJSN8o6wfVReW0WgWXmKppc3j8az388nVjOgBdvvS105gq89SbcFDJ5GQBrhoy2L6jmZHhTAUvRzNCrTW11pUwzfOa5bJGsFB6VdBAALOs1M6SpIm3XNq0i8pP22zEkUYtcfkw/s1600/4+(4).jpg
NAPE NNAUYE

No comments:

Post a Comment