Tuesday, February 26, 2013

HARAKATI ZA UBORESHAJI MAKAZI ZAENDELEA




Wanafunzi hao wakijadili na Wananchi


Asasi isiyokuwa ya kiserikali CCI (CENTER FOR COMMUNITY INNITIAVES) inaendelea kutimiza azima yake ikiwa ni baada ya kuleta wanafunzi toka chuo cha Aalto nchini Finland kusaidia kuboresha makazi

Wanafunzi hao wakiwa zaidi ya ishirini toka fani mbalimbali kama z uhandisi, usanifu majengo na wataalamu wa masoko wamekuja nchini na kugawanyika sehemu mbalimbali kwa lengo la kujionea na kutoa maoni yao jinsi ya kuboresha makazi ya watu hao ikiwa ni maeneo ya CHAMAZI, MABWEPANDE,MAGOMENI JANGWANI  n.k wakishirikiana na baadhi ya Wanafunzi toka Chuo kikuu cha Dar es Salaam
Shughuli mbalimbali zinaendelea katika kuhakikisha zoezi linafanikiwa na kwa siku ya leo Jumatano wamepata lecture (Mafunzo) toka kwa wadau mbalimbali walio serikali wahusikao na makazi na mhadhiri toka Chuo Cha Ardhi
Pia kwa upande wao wahandisi wamekuja na njia ya kupunguza gharama za ujenzi kwa kujenga kuta za nyumba kwa kutumia chupa za Maji kwa kuzijaza mchanga na kupata kujengea ukuta



 

4 comments:

  1. TUELEWESHENI TUMEPENDAPROGRAMME LAKINI BAADA YA HAPO WATAPATA NINI HAO WAGENI NA WANAFUNZI ? JE PROGRAMME INA UENDELEVU? SIO ZIMA MOTTO TU ZA KIBONGO MCHANGAYIKO?

    ReplyDelete
  2. What is the major aim of your project? can it be yearly or including large number of students more than that?

    ReplyDelete
  3. Vipi huyo mzungu ni dent au bongo fleva ya fin

    ReplyDelete
  4. Vipi anayetupia picha haoni zinaingiliana na maandishi ya pembeni acheni informa acts

    ReplyDelete