Friday, February 1, 2013

MREMBO WEMA SEPETU AKINUKISHA OFISI ZA MULTCHOICE MPANGO MZIMA ISSUE YA BBA LAZIMA KIELEWEKE.

 Kama ilivyo ada yetu mbio za BBA zimeanza ambapo mrimbwende wema sepetu ameibuka wa kwanza kwa ujasiri kuchukua fom hizo mategemeo ya wabongo mwaka huu wayaweke kwamba taji linarudi bongo kwa mbwembwe . Je nani ataokoa jahazi?



No comments:

Post a Comment