Thursday, December 20, 2012

KATIBA TETEA HAKI ZA WASANII

KATIBA TETEA HAKI ZA WASANII.
WASANIA NA TASNIA NZIMA YA SANAA WANAHITAJI HAKI SAWA NA FURSA SAWA.
KAMA WEWE NI MTANZANIA MZALENDO NAJUA UNAJUA NI JINSI GANI WASANII WANAVYOHANGAIKA KUFANYA KAZI ZAO. 
TUKIANZIA MAZINGIRA YA UTENDAJI KAZI NI MAGUM KAZI WANAYOFANYA NI NGUM INAHITAJI MSUKUMO WA KUTOSHA INAHITAJI RASMALI FEDHA NA RASLIMALI WATU VYOTE HIVI NI GHARAMA

MAONI, MIKOPO KWA WASANII IWEPO NA KATIBA MPYA ISEME WAZIWAZI KWA WENYE FILAM NZURI ZISHINDANISHWE KUMI BORA WAPEWE MIKOPO.

HAYA NIA MAONI NA MSIMAMO WA NIHABARISHE

3 comments: