Sunday, December 23, 2012

LEMA ATISHA ARUSHA.....

Tukiongelea ARUSHA na siasa zake kwa kipindi hichi hapa hutuwezi kukwepa mtu mmoja arimarufuuuuuuuuuuuuuuuuuu sana kwa jina Godbless Lema ambaye ameibuka mshindi baada ya kukataa rufaa na kubadilikabisa history yake pamoja na majina yake sasa anaitwa Mheshimiwa Godbless Lema.

CCM BADO WANA CHAO AU NDO HIVYO TENA........................

Unadhani hii ni TIMELY JUSTICES..

Unadhani hii ni TIMELY JUSTICES.

No comments:

Post a Comment