Thursday, December 20, 2012

VYPA ATISHA NA WIMBO WAKO WA MAMA ONE SON

Msanii machachari raia wa Jamaica aishiye Canada kaachia singo moja matata kama zawadi kwa mashabiki kwa kufunga mwaka....Akiongea live na mwandishi wetu bwana Seleman Pharles Mabala msanii huyo amesema yote aliyoyaimba humo ni habari za ukweli TRUE STORY

No comments:

Post a Comment