Ni kwa mara nyingine tena PROGRESS THE YOUTH FOUNDATION (PY) imetangaza fursa za kupata kazi kwa vijana wenye ueledi mbali mbali. Kwa wewe kijana mwenye ueledi wako unatakiwa kuwasilian na shirika la PY. Shirika hili linawezesha vijana na jamii kwa ujumla kiuchumi kiutamaduni na kiafya. Unaweza tuma CV au Miradi bunifu kwa maendeleo ya jamii na kuwezesha kuibua ajira kwa wengi.
Tafadhali wasiliana kama ifuatavyo.
progresstheyouth@gmail.com
fabulousconsutants@gmail.com
No comments:
Post a Comment