Thursday, December 20, 2012

SEND OFF YA PAULINA

Eneo la tukio
Paulina na Evance
Katikati Paulina na Evance
Wanafunzi wa Chuo kikuu cha Dar es Salaam walijitokeza hapo jana jumatano kumpa support mwanafunzi mwenzao Paulina Boniface Maziku kutoka School of Journalism and Mass Communication ambaye hapo jumamosi ndio ndoa kamili ambapo kijana Evans Kulwa Striker atakuwa mumewe rasmi wa maisha

No comments:

Post a Comment