Monday, December 24, 2012

VYPA KUACHIA KIDEO KIPYA KABLA YA KUJA TANZANIA

Msanii toka Jamaica anayekimbiza pande za Canada mwenye asili ya ya Africa VYPA amesema kuwa ngoma yake mpya ya MAMA ONE SON ataitolea video soon kabla ya kuja Tanzania ambapo amesema atapiga show kadhaa Africa maana ni kwao 'Afica is my home, Africa is my motherland though i have never been there I must come to enjoy with my people' akiongea kwa njia ya simu na reporter wetu msanii VYPA maarufu kama FRONTPAAGE PLAZA amesema ngoma zake lazima aje live Afrika kuwapa ladha. Msanii huyo mwenye ngoma mbalimbali zinazobamba club dunia nzima ni anatarajiwa kuwa Tanzania mwaka Ujao na amekwisha kutoka ngoma kibao kama RECYCLE, WINE UP,  MAKE YOU SWEET n.k....Kaa mkao wa Kula

No comments:

Post a Comment