Thursday, December 20, 2012

UNYANYAPAA, VVU NA VIFO VITOKANAVYO NA VVU VYAPATA MWAROBAINI TANZANIA BY PY FOUNDATION

PY imekuja ni njia mbadala kwa VVU Tanzania na kuwahakikishia watanzania wazelondo kuwa tutatokmeza HIV/AIDS na VVU kwa ujumala kupitia ngazi zifuatazo.

1.TUAMUE KUTOKA ROHONI KUWA WASAFI. MAANAK KULINDA AFYA YAKO NA YA MWENZIO.
2. KUJIPENDA NA KUPENDA NCHI YETU. AMBAYE HANA AJILINDE ZAIDI ALIYENAO ASIMUAMBUKIZE MWENZIE ASEME HADHARANI
3.KUTUMIA ABC ZA UKIMWI
ABSTAIN
AU
BE FAITHUL
AU
USE CONDOM MPAKA NDANI YA NDOA NA KUPIMA KILA MARA AFYA YOTE KWA UJUMLA.

No comments:

Post a Comment