Kile kinachodaiwa kuwa ni msimamo usioangalia sura wala cheo cha mtu kimeonekana kuvuta hisia za watu ni pale mbunge wa Mbeya mjini aka Rais wa Mbeya Mhe Joseph Mbilinyi jana alimchana Mkuu wa wilaya ya Rungwe bwana Meela kwa kubadili maada za maendeleo na kuanza kuongelea masuala ya siasa na ndipo leo asubuhi akapost katika katika mtandao wa kijaamii facebook akionesha udhaifu wa mkuu wa Wilaya yule na kisha raia mmoja akakoment tofauti na umma wote ukamgeukia yeye mpaka pale aliporejea na kujitetea....
Hivi ndivyo ilivyonyakwa na NIHABARISHE toka mitandao ya kijamii yaaanifacebook ngoma imenyakwa nzimanzima yaani live bila chenga.
STUPIDITY: IS A LACK OF COMMON SENSE AND UNDERSTANDING...
Kwame Ibr ni
kweli, kiongozi anaulizwa swali kwanini maendeleo hajapatikana yeye
badala ya kujibu anaanza kuzungumzia udiwani na siasa kwenye vikao vya
kujadili maendeleo, huyo ni stupidy.
...KUNA
MKUU WA WILAYA YA RUNGWE ANAITWA BWANA MEELA NADHANI,JANA TUKIWA KWENYE
KIKAO CHA MKOA CHA MASUALA YA ELIMU ALITAKIWA NA M/KITI AELEZE
MAENDELEO YA ELIMU WILAYANI KWAKE...BADALA YA KUELEZA 'FAILURES' ZAKE
AKAANZA KULALAMA KUWA KUNA DIWANI WA CHADEMA KATA MOJA YA WILAYANI KWAKE
NDO ANAZUIA MAENDELEO...NIKAMWAMBIA LIVE KUWA MA-DC KAMA WA AINA YAKE
NDIO WANASABABISHA TUME YA KATIBA MPYA KILA INAKOPITA WATU WANATAKA
NAFASI YA MA-DC IFUTWE KABISA ISIWEPO...COZ HAWAJUI HATA MAJUKUMU YAO NA
NDO VINARA WA KUINGIZA SIASA CHAFU NA HASI ZA CCM KWENYE MAMBO YA
MAENDELEO N THATS STUPID...
Kwikima Hussein Kasele another
problem ni professionalism kwa media yetu-heading ya habari na tukio
lilivorushwa na TV moja leo ni vitu viwili tofauti-Eti ulikimbia wakati
kakushoot ukitoka huku umefura na kama umesusia kikao.
Geoffrey Samm hajitambui..mngemuuliza huyo diwani na anazuia kivipi hayo maendeleo?
No comments:
Post a Comment