Wednesday, December 26, 2012

LEVI-ON-DA-BEAT ATUA BONGO

Levy Beat Mzigoni



Producer machachali toka kwa Mu7 aka UGANDA katua bongo hivi karibuni ikiwa ni katika mchakato wa kusherekea sikukuu na kuendeleza harakati za kusuka beat kwa watu wake. Levy ni moja ya maproducer wanaokimbiza na kutishia amani ya maproducer wengi huko uganda na ndio producer aliyetengeneza beat ya wimbo wa NIKO FRESH wa  msaani toka School of Law -UDSM kijana YOUNG SUMA aka KING SUMA.
 Producer huyo kaamua kuwa tofauti kidogo na maproducer wengine ambao huamua kwenda kupumzika maeneo bila kazi yoyote lakini yeye kwake zege hailali.......Big up bro.........
Na kwa msanii yeyote anayetaka kurekebishiwa beat ya kimataifa anaweza mcheki king Suma kwa facebook akitumia jina YOUNG SUMA
Young Suma Jukwaani alipotisha pale Maisha Club ..Lawyers 9t

1 comment: