Sunday, January 6, 2013

250 WASOTA KWA UKATA WA MIKOPO IFM, IFM SO WAPIGWA BUTWAA!!!! WAANGUA KILIO!!! SERIKALI/WADAU MKO WAPI

ABRAHAM P ABRAHAM-Naibu waziri wa Mikopo IFM
Nihabarishe imehabarishwa na kupata habari yakinifu kutoka kwa vyanzo vyake vya habari hali halisi ya mikopo chuo cha usimamizi wa fedha yaani IFM kama kinavyoenda kwa vifupisho vyake -INSTITUTE OF FINANCE MANAGEMENT. Baada ya vuguvugu na fukuto hilo NIHABARISHE iliamua kuinuka kwa mwendo wa kasi kama farasi na sio kinyongo hadi chuoni hapo na ikabahatika kukutana na uongozi wa serikali ya wanafunzi ya IFM yaani IFM SO.
Bahati nzuri au mbaya moja kwa moja ilimnasa mhusika katika kitengo cha mikopo NAIBU WAZIRI WA MIKOPO na kuchonga mawili matatu kuhusiana na hili. Aidha Naibu waziri wa mikopo anayekwenda kwa jina la Ibrahm P. Ibrahm pichani juu alianza kwa kusema " kusema kweli mikopo bado inasumbua chuoni hapa ingawa baadhi ya wanafunzi wana mikopo tayari. Naibu waziri aliongezea kuna ucheleweshwaji wa mikopo na hii husababishwa na     sababu kibao alisema bila kuficha, mojawapo ni fomu zetu huwa zinacheleweshwa pale kwa afisa mikopo wa chuo, alisema nimekuwa nikifuatilia mara kwa mara ila napata jibu siwezi kupeleka fomu chache labda zikiwa nyingi.
Aidha Naibu waziri Mikopo wa chuo cha usimamizi wa fedha alisema hali ni ngumu sana kwa ambao hawajapata mikopo, wengi wamelazimika kuacha masomo na ahadi ya mwaka kesho kuendelea. alisema inauma sana kwanini wenzetu wakose mikopo na sisi tuendelee kuzubaaa tu, si vyema.
Wanafunzi 250 kustop kuendesha masomo yao  Wakati idadi ya watu ikiwa imefikia 44,929,002 wengi wao wakiwa wa wao. ikiwa Tanzania Bara ina idadi ya watu milioni 43,625,434 huku Zanzibar wakiwa 1,303,568. Na ikikisiwa pia kwamba
MAONI:
NAIBU WAZIRI MIKOPO
Naomba uongozi wa IFM ufikirie kuwawezesha fedha ya kujikimu, maradhi, na fotokopi kwa hawa wenye changamoto.?

                             
Baadhi ya Viongozi wa IFM. Kulia Prince Pastory C.E.O wa makampuni FPN



 MAJINA YA WANAFUNZI AMBAO HAWAJAPATA MKOPO






No comments:

Post a Comment