Saturday, January 26, 2013

CCM WASAFIRI NA TRENI KUONESHA MFANO



ABDULRAHMAN KINANA AKIWA NA WANACCM

Chama cha mapinduzi CCM kimeamua kutumia tren kama chombo cha usafiri katika safari yao ikiwa ni moja ya ishara ya kuonesha kuunga mkono na kuwa pamoja na wananchi.
Suala hili limepongezwa na wananchi wengi walio wanachama na wasio wanachama wakisema kuwa ni jambo jema lenye kuonesha kujali na kuondoa matabaka

No comments:

Post a Comment