Japokuwa wanasema kufa kufaana lakini msemo huu haupo appricable kila sehemu na kwa kila kitu. kuna kundi la vijana hapa jijini Dar es Salaam ambao wamekuwa wakitembea kuomba mchango kwa ajili ya msiba huo.
Vijana hao bila ya kuogopa wanaomba mchango kwa ajili ya msiba wa Sajuki na baadhi ya watu wameanza kuwashitukia.
watu hao hawapo kwenye chama chochote cha wasanii na hivyo ni wa kuogopwa na Polisi wanatakiwa kufuatilia suala hili kwa sababu wanatia doa uzalendo wa Watanzania
No comments:
Post a Comment