Sunday, January 27, 2013

MREMBO WA WIKI FUNIKA BOVU...USIPAIME..USIIGE...


Mrembo machachari kabisa akienda kwa jina la Rey Kissija aka Rey K, akipozi pichani juu huku akipata pepo za fukwe za bahari kama kawaida yake ndo anachukua nafasi ya mrembo wa wiki kupitia.

Mrembo wa wiki aka Rey K ameriafu NIHABARISHE Gazeti na blog kuwa yeye hupendelea kupumzika fukwe za bahari, kuchezea mchanga ndo zake, hupenda mapambo ya asili ya kiafrika, chakula mboga za majani na matunda
 Juice -Green juice
Alivyoulizwa kuhusu rangi ya nguo, maua na mapambo alisema amechoka ataweka wazi hilo next time kwenye media.
Kama unataka kufanya kazi na Rey K wasiliana na NIHABARISHE blog au GAZET direct utampata.

No comments:

Post a Comment