Tuesday, January 22, 2013

SIMU MPYA BALAA SAMSUNG WANATISHA USIPIME






SIMU YA SAMSUNG NOMAAAAAAAAAA TUPU HUKO LAS VEGAS
Simu hii Screen yake kiukweli kabisa ni nomaa usije ukasimuliwa tu kamata kitu chako cha ukweli mapema iwezekanavyo, pia fuatilia taarifa zake daily inatumia technolojia ya  OLED- organic LED kama smart phone nyingi za sasa lakini ikiwa kwa mfumo wa plastic badala ya glass, iko imara mbaya kabisa.
Samsung wamewashangaza watu sana wiki hii, huko Las Vegas kwa screen ya sim inayofanya kazi na yenye uwezo wa kujikunja kama karatasi.
screen inaendelea kufanya kazi licha ya kukunjwa  na kukunjuliwa, wakionyesha kuwa ni bora zaidi kuliko screen zinazokunjika pekee
 
KWA WATU WA UKWELI TU KAMA WEWE NI WA UKWELI MAMBO NDO HAYO.........................SAMSUNG NDO HABARI YA MUUUUUUUUUUUUUUUUUJINIIIIIIIIIIIIII.!!!!!!!!!!

No comments:

Post a Comment