Kama kawaida yake uzalendo kwanza Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. JAKAYA MRISHO KIKWETE amesherekea na kuukaribisha mwaka mpya wa 2013 kijijini kwao Msoga huko bagamoyo mkoani Pwani. Kikwete alijumuika na wanakijiji wenzanke usiku wa kuamkia tarehe moja akiwa na mke wake Mama Salma Kikwete,
Imekuwa ni kawaida kwake kupenda kutembelea kijijini kwao ikiwa ni pamoja na kujumuika na ndugu zake pamoja na wanakijiji wenzake.
No comments:
Post a Comment