Joseph Mbilinyi aka SUGU aka Mr II |
Wanasema jasiri haachi asili akiacha hana akili ni kitu ambacho kinaonekana kuendelezwa siku ya kesho na legendary wa music wa bongo fleva nchini na ambaye kwa sasa ni Mbunge wa Mbeya Mjini kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Mhe Joseph Mbilinyi vijana wengi wakimwita mzee wa kumchana Mulugo kesho anatarajia kufanya bonge la shoo ndani ya club ya Billicanas
Mchakato huo utakaofanyika kesho tarehe 27 jumapili utahusisha wasanii wengine wakali kibao
No comments:
Post a Comment