Sunday, January 27, 2013
CHRISTIANO RONALDO AZUA GUMZO ZITO KWA WAPENZI WA SOKA
Mchezaji mwenye machachari na mwenye asili ya Ureno Christiano Ronaldo leo amegeuka kuwa habari ya mjini hasahasa kwa mashabiki wa mpira wa miguu baada ya kuonesha kipji cha hali ya juu kwa kufunga HAT TRIK ndani ya dakika saba. Gumzo hilo lilikuwa ni kati ya mashabiki wa Ronaldo na wale wa Lionel Mess ambapo mess amekuwa ni mchezaji mwenye kuonesha makeke mengi lakini kwa hili la leo Ronaldo anadaiwa kujipatia mashabiki wengi sana
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment