MWAKA HUU NA MWAKA KESHO MPAKA WASEME BASIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIiiiiiii!!!!
Kinara wa filam za kibongo Vincent Kigosi ariiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiimaarufu kama Ray Ndo huyo hapo juu pichani, kama mojawapowa shabiki wake alivyoanza kuwaka na kukataa maelewano na waliokuwa wakienda kinyumee, mzee ilizua gumzo balaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa pande flan baga....endelea.
Ray Kwa historia fupi amekuwa mstari wa mbele kufanya kazi kwa umahiri na kwa bidii zote alikaririwa shabiki wake mmoja akisema namkubali Ray kama ndo kinara kwani jamaa balaa anakamua mpaka mwisho. Hii ilitokea baada ya mabishano na vijana pande za BAGAMOYO chuo cha SANAA TASUBA, ambapo Misoji msanii na mshindi wa BSS anaongeza akili kumkichwa kwa sasa vijna walikuwa wakidai Emanueli Myamba ndo habari ya mjini.
Pichani juu wa kwanza Ray kulia kwake Prince Pastory C.E.O wa makampuni ya FPN pia actor, MC, Assistant Book Author, Mtunzi, Mwongozaji wa filam.
Picha chini Emmanueli Myamba msanii na mmiliki halali wa chuo cha mafunzo ya Filam Tz kulia kwake the White bo a.k.a YTze''' akiwa na Skubiyduh jibwa la kisasa mitaa ya SWETO karibu na Geneva ya Africa. The YTbo ni kijana machachari mwenye vipaji lukuki kwenye game la filam, HIPHP/R&B mda si mrefu track yake ya NIPE MABO ataachia hewani akishirikiana na wasanii wakali kama Mr Blue, Fredy MaX, Prince alikaririwa akisema alivyokuwa akihojiana na NIHABARISHE kwa njia ya simu.
Kwa maelezo ya kikazi zaidi na ujio wa vitu vipya wasiliana na blog hii direct Mzeiyah.
UNADHANI BONGO MOVIE BILA NANI HAWAJAONGEA KITU MRUSHE UNAYEMKUBALI ILE KINOMNOMAAAAAAAAAAAAA MZEIYAH ??????????
HAYA NI MAONI YA MASHABIKI TU NA WALA SI MSIMAMO WA NIHABARISHE BLOG NA NIHABARISHE GAZETI.
HAYA NI MAONI YA MASHABIKI TU NA WALA SI MSIMAMO WA NIHABARISHE BLOG NA NIHABARISHE GAZETI.
No comments:
Post a Comment