Wednesday, January 16, 2013

GUARDIOLA KUTIMKIA UJERUMANI

Kocha aliyekuwa akikinoa kikosi ya Barcelona aka kwa kina Messi amesain mkataba wa kuanza kuinoa club ya soka ya BAYERN MUNICH iliyoko Ujerumani
Kocha huyo aliyekuwa akiwania na timu zaidi ya nne zikiwemo Arsenal, Chalsea na MAN U ameamua mwenyewe kwenda Bayern Munich kwa msimu ujao
Guardiola baada ya kutoka Barcelona aliamua kwenda New York nchini Marekani kwa ajili ya mapumziko


No comments:

Post a Comment