R. Gaucho |
Mchezaji Ronadinho Gaucho amekuwa katika kipindi cha majonzi ya kuuguliwa na baba yake na hapo jana majonzi yakawa makubwa zaidi baada ya baba yakea mzazi kufariki dunia huko nchini kwao Brazil
Ronadinho ameelezea kwenye vyombo vya habari kuwa ana najonzi makubwa sana kwa sababu suala la kufiwa na mzazi ni kubwa na ikumbukwe kuwa baba yake alikuwa mshauri wa mambo mbalimbali kwake akiwa bado kijana ambaye anahitaji muongozo wa wazee
No comments:
Post a Comment