Wednesday, January 16, 2013

VYPA AACHIA NGOMA MPYA

http://www.youtube.com/watch?v=XfjP_2pBRdA

Msanii raia wa Jamaica anayeishi Canada Vypa Di Gyal Dem Striker amabaye anakimbiza kwa sasa katika gem kwa ngoma zake mbalimbali zikiwemo za ridhim na za club ametoa ngoma mpya
Ngoma hiyo aliyomshirikisha Rai inakwenda kwa jina la BODY ON FIRE, ambapo kwa mujibu wa VYPA wimbo unamhusu mdada mrembo  ambae amekamirika kila idara.
Ngoma hiyo imefanyika SMOKSHOP STUDIOS nchini Canada studio ambazo zinafanya vizuri sana mapande hayo
Ikumbukwe kuwa VYPA ni msanii ambaye yuko katika harakati za kukamilisha na kuweka sawa ratiba zake kisha kuanza ziara zake za kupiga show maeneo mbalimbali ya bara la Afica.
Vypa anendelea kutisha na ngoma zake kadha ikiwamo MAMA ONE SON, STOP WATCH ME, DING DONG NA RECYCLE. kuchek ngoma hiyo na zingine click link hizi http://www.youtube.com/watch?v=2ruta2s4eqE&list=UUin7QaNFEif3L7Io6gfe9ow&index=6






No comments:

Post a Comment